Huu mtihani ni mgumu wanawake watujibie

Huu mtihani ni mgumu wanawake watujibie

Sema kweli hawa watu wana shida..
Kuna huyu ana mume wake kabisa ila anadiriki kunambia mimi et yupo na kumewe kimkakati ya yupo radhi aachane nae twende tukale bata huko
 
Sema kweli hawa watu wana shida..
Kuna huyu ana mume wake kabisa ila anadiriki kunambia mimi et yupo na kumewe kimkakati ya yupo radhi aachane nae twende tukale bata huko
Hii ipo sahihi unaweza kuoa mwanamke ukiwa na miaka 25 na ikakuchukua miaka 25 mingine hadi kuja kumuelewa tabia yake halisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom