Huu mtihani ni mgumu wanawake watujibie

Huu mtihani ni mgumu wanawake watujibie

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
7,580
Reaction score
13,047
Juzi kati nimepata mualiko wa kushiriki katika kikao cha upatanishi wa jamaa yangu mmoja na mkewe, mambo yaliyo endelea hapo ni ajabu kwa kweli, mke analia hadi machozi anadai kwamba mumewe hajari kuhusu yeye, akimuaga anahitaji kutoka amsindikize rafiki yake sehemu furani mmewe anamjibu sawa nenda huku yupo bize anacheza game kwenye simu, akimwambia sina nauli anamjibu pochi hiyo hapo fungua uchukue kiasi kadhaa uende, imenichekesha kwa kweli mke anatoa hadi machozi alitalajia mumewe amwambia angalau leo hutoki lakini haiwi hivyo, akimuuliza kwa nini huna wivu na mimi anajibiwa kwa sababu nakuamini, hivi huyu mwanamke yupo timamu kweli, je kama safari yake ni muhimu na mume kagoma kutoa ruhusa si kesi tena, hivi wanawake mnahitaji nini haswa?.
 
Ndivyo wanawake tulivyo unataka tueleweke yaani mjue formula yetu ili iweje? Kula chuma hicho😅👌🏽
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom