Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Nimewaza hiyo situation kwamba ulikuwa na sehemu ya kuegemea alafu ikate ringi
Miaka 18 bado ni mtu ambae kwa tz na africa, akili inakuwa haiko matured sana... hata kwa wazaz wana'mchukulia kama bado mtotoKama una miaka 18....na unaishi na wazazi wako au ndugu,na kila siku unapata milo mitatu hapo nyumbani kwenu,basi Wewe una mtaji mkubwa sana huwezi ukashindwa kuitengeneza kesho yako.
Daaa nilikosa kibarua Cha kulipwa mwisho wa mwezi nikiwa na miaka 17 kwasababu nyumbani kwetu hatukuwa na uhakika wa kula,tuliishi kwa kuhemea unafanya kibarua na kulipwa siku hiyohiyo,Sasa Kama Wewe kwenu unapata msosi halafu hujishughulishi siku hao wanaokulisha leo wakikwama au wakatangulia mbele ya haki,basi utaishi maisha mabovu Sana,hiyo milo mitatu ni mtaji mkubwa sana kwako,wenzangu ambao walikuwa na uhakika wa kula kwao walienda kufanya kibarua wengine hatimaye wakaajiriwa mpaka Sasa ninapoandika uzi huu wapo kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwalaumu mkuuMkuu tunawalaumu vijana bure Ila kiukweli Wana situation ngumu sana.
Hakuna mtu anaependa kukaa bila kazi
Inategemea kalelewa katika mazingira ganiMiaka 18 bado ni mtu ambae kwa tz na africa, akili inakuwa haiko matured sana... hata kwa wazaz wana'mchukulia kama bado mtoto
Nadhan kwasababu ya system iliopo but kwa wenzetu kidg sawa
...
Huo ndio ukweli mkuuNimewaza hiyo situation kwamba ulikuwa na sehemu ya kuegemea alafu ikate ringi
Kama una miaka 18....na unaishi na wazazi wako au ndugu,na kila siku unapata milo mitatu hapo nyumbani kwenu,basi Wewe una mtaji mkubwa sana huwezi ukashindwa kuitengeneza kesho yako.