Huu mseto ungeifaa sana Tanzania

Huu mseto ungeifaa sana Tanzania

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,486
Reaction score
6,172
Rais wa Jamhuri ni Dr.Slaa
Waziri mkuu Dr.Magufuli
Kwa mafanikio ya Tanzania,tusiwe wabinafsi tuwape hawa kazi watusaidie kuisogeza.
 
Rais wa Jamhuri ni Dr.Slaa
Waziri mkuu Dr.Magufuli
Kwa mafanikio ya Tanzania,tusiwe wabinafsi tuwape hawa kazi watusaidie kuisogeza.

Energy and Mining: Muhongo; Foreign: Mahiga; Sheria na Katiba:Lissu; Fedha: Lipumba; Spika: Jaji Ramadhan.......Utalii...!!!
 
m
Energy and Mining: Muhongo; Foreign: Mahiga; Sheria na Katiba:Lissu; Fedha: Lipumba; Spika: Jaji Ramadhan.......Utalii...!!!

Hiyo ni kweli lakini lazima raisi ajaye afanye kipindi cha mpito kuhusu katiba na maadili kwani wagombea 38 CCM na hata matatizo madogo/makubwa kwenye upinzani na UKAWA vinaonyesha tatizo la msingi kitaifa hasa dhana potofu kuhusu uongozi,madaraka na fedha.
 
Yaani hii nchi cjui nani kailoga na watu wake
Yaani tumesha sahau
ESCROW
EPA
RICHMOND
KAGODA
BUZWAGI
MEREMETA
TEMBO KUUAWA
TWIGA KUPANDA NDEGE
MISAMAHA YA MADINI
MISWADA YA HOVYO YA GESI NA MAFUTA
KUPANDISHWA HOVYO BEI YA MAFUTA
WATOTO KUKAA CHINI
AKINA MAMA KUZALIA CHINI
MATAJIRI KUTHAMINIWA
UBOVU WA BARABARA
UBOVU WA RELLI
UHABA WA MAJI SAFI NA SALAMA
KUUZWA BENKI YA TAIFA
KUUZWA KWA SHIRIKA LA NDEGE
KUUZWA KWA NYUMBA ZA TAIFA
KIWIRA COAL MINE
UKOSEFU WA DAWA HOSPITALI ZA UMMA
KUSHUKA KWA ELIMU
MIGOMO YA WAALIMU NA MADAKTARI
MIGOMO YA WANAFUNZI
MIGOGORO YA ARDHI KUTOKANA NA SERIKALI
KUWATHAMINI WAWEKEZAJI WA KIGENI
KUHODHI VIWANJA VYA MICHEZO
KUHODHI MAJJENGO YA UMMA
KULINDA WEZI, MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI
KUUA VIWANDA ALIVYO VIJENGA MWALIMU
NYERERE
KUUA MASHIRIKA YA UMMA
KUONGEZA MATABAKA KWA WANANCHI
KUUA WANAHARAKATI NA WAANDISHI WA HABARI
( MWANGOSI)
KUPITISHA RASIMU ISIO YA MUAFAKA
ILIYO
FEKI
HIvyo basi,
nashangazwa na watu waelewa humu wanaosema
magufuli jembe
Wakati yupo serikalini tangu 1995
Ndani ya ccm
Nani ametuloga ??
Hapa magufuli ni pombe ile ile kwenye chupa
mpya.
Maskini Tz
Au elimu ya uraia tatizo ???
 
Rais wa Jamhuri ni Dr.Slaa
Waziri mkuu Dr.Magufuli
Kwa mafanikio ya Tanzania,tusiwe wabinafsi tuwape hawa kazi watusaidie kuisogeza.

Hiyo serikali ya kitaifa au?
 
Rais wa Jamhuri ni Dr.Slaa
Waziri mkuu Dr.Magufuli
Kwa mafanikio ya Tanzania,tusiwe wabinafsi tuwape hawa kazi watusaidie kuisogeza.

Ni maoni yako mkuu yaheshimiwe. Pumzika salama baada ya kazi za mchana wa leo.
 
m

Hiyo ni kweli lakini lazima raisi ajaye afanye kipindi cha mpito kuhusu katiba na maadili kwani wagombea 38 CCM na hata matatizo madogo/makubwa kwenye upinzani na UKAWA vinaonyesha tatizo la msingi kitaifa hasa dhana potofu kuhusu uongozi,madaraka na fedha.

CCM kama wangekuwa wanatumia biusara na wanaitakia mema Tanzania wangefanya Political transition kubwa na possibly reconciliation sasa. Kwa mchezo wanaoucheza sasa wa kufikiri wataongoza milele kuna siku ni wao ndiyo watakuwa wanachezea Segerea siku sijazo!! TIME WILL TELL!!
 
Back
Top Bottom