functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
Jela utafungwa na huko guest utaliwa kiboga,achana na wake za watu.Jaman naomba kujuzwa, kuna jamaa aliniambia kuna jela na gesti, ana maanisha nini.
Aisee nimekwishaHahaaa mzee functional umekwisha habar yako
Nikushaur tu nunua ky gel ili isje ikalufanya uka bleed
Uliona raha sna kula mke wa mtu sasa jamaa anamanisha yeye ataenda jela ila ww utapelekwa maeneo ufanywe kitu mbaya
Umesahau kale kamsemo kazamaniAisee nimekwisha
Yule uliemla bafuni atakutokea puaniJaman naomba kujuzwa, kuna jamaa aliniambia kuna jela na gesti, ana maanisha nini.
Me nafikiri hilo ni tusiNa huu nao una maana gani...
Naona watu wanaandika na kuzungamza
KAMA YOTEE..... mwenye kujua maana ya huo Msemo tafadhali.
Me nafikiri hilo ni tusi
Mbona mnanitisha?Yule uliemla bafuni atakutokea puani
Au ina maana tafauti?Duuh hatariii
siku hizi 'kuna jela na ukuta' nduguJaman naomba kujuzwa, kuna jamaa aliniambia kuna jela na gesti, ana maanisha nini.
Mmh!siku hizi 'kuna jela na ukuta' ndugu
Kwamba anamanisha acha kula vya bure vya watu utakuja kuishia gesti kupigwa Mkuyenge au watu wenye hasira wakupeleke kwa pilato.Jaman naomba kujuzwa, kuna jamaa aliniambia kuna jela na gesti, ana maanisha nini.
Au ina maana tafauti?