anthonyyose
Member
- Jun 14, 2013
- 12
- 0
demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unamkuta dada ake ambae ni demu wako wa zaman kidogo unamuona kaka ake ulipgana nae kwasabab alikufumania na demu wake ulipoangalia ndani ukamuona mama ake ambae ni sugar mumy wako na ndo alokununulia gari unalotamba nalo kabla hujajua la kufanya baba ake anatokea ndani unamkumbuka ni wakili alie kutetea ktk kesi yako ya ubakaji
je ungefanyaje na demu unampenda kupita maelezo?
je ungefanyaje na demu unampenda kupita maelezo?