Huu mpambano auhitaji pupaa...

Mwanaume wa Dar ukimwambia achague kati ya kujinyonga na huo msosi walahi atachagua kujinyonga,mambo hayo hawayawezi!!
 
Kuna watu wanafikiri kula chakula bora ni kumaliza kuku mzima na ugali kilo tano.
 
Mkakati wa huyo wa kati wa kuanza na maji utamkwamisha!... Aanze na bada kwa kisamvu!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…