Huu mkungu wa kichina?

Naona tumezidi kuwaonea wachina yaaani kila kitu waoo tuu??? kwani tusiseme wa Mkungu wa Bukoba ?!
 
hiyo mbegu inafaa sana, kama ni ya ukweli naomba ni-PM
 
THIS IS REAL!
Someni hiyo picha...kwa umakini zaidi!, kuna evidence kibao zinazodhihirisha!
 
ndio its true kwetu hakuna mbolea ndio kama mulivo ambiwa kilomo kwanza basi anzeni mutapata
Conquest
 
Zamani kitu kikiwa kikubwa/kizuri tulikuwa tunasema cha kizungu,mf.kuku wa kizungu,ng'ombe wa kizungu,nashukuru sasa imegeuka imekuwa ya kichina,naamini kabisa kuna kizazi ambacho kitasema kila kizuri na kikubwa ni cha kibongo!!Asante Mungu kwa these changes!!
 
Huo mkungu ni wa Bukoba, haki ya nani hata mkitaka ushahidi nitawawekea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…