Huu mji gani Asia?

Huu mji gani Asia?

Hivi Hong Kong bado ni koloni la China? au ipo chini ya Uingereza?

Wamechukuwa China zamani ila Wako huru kisiasa lakini usalama na mambo ya nje ni jukumu la China. Thatcher amekubaliana na China kuwawacha kwa muda wa miaka hamsini bila ya kuwaingilia kisiasa. Wananchi wa Hong Kong ni huru zaidi na wanafuata Sheria za Uiingereza.
 
Back
Top Bottom