ingekuwa bongo wangekuambia kakosa ustaaarabu, kwa huyu mnaona sawa tu............double standard
Mnatamani arudi tena nini, tuanze kufukuzana mjini kati na kudeki barabara?
Neno la kipuuzi likiongelewa kizungu
Mswahili anaona ni sawa tu.
By JK Nyerere.