lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,593
- 5,219
Hellow JF
Kuna haka katamaduni unakuta mfano mpo kwenye sherehe wageni waalikwa mumeenda kuchukua msosi buffet ya maana kabisa sahani imejaaa kwenye kula sasa ataanza na aina nyingine nyingine nyama hata ikisogea ule upande anaomega itarudishwa juu au pemben ya sahani.
Lengo likiwa ni kuila ya mwisho kabisa baada ya vingine kuliwa hii sio kwenye sherehe tu hata majumban pia mwendo ni ule ule ,mimi mwenyewe hata kama nitakula katikati ya msosi au mwanzoni lazima kuna kamoja katapigwa stop kuliwa mwishon.
Huu mchezo ameuanzisha nani kwani??na kimeshakuwa kiutamaduni tayari labda mkiwa mnakula kwenye sahani moja sinia hapo nyama itapigwa mapema maana ukizubaa huikutiiiView attachment 2091579
View attachment 2092776