Kufuatia babari na taarifa zilizo patikana kutoka kwa mawakala wa mgombea wa CHADEMA, wametua tawimu zilizo kusanywa nchi nzima na zinaonyesha kwamba mgombea wa chama tawala CCM J.M. Kikwete alipata kura halali asilimia 44.56% wakati Dr. W.P Slaa alipata 44.45% na kwamba J.M Kikwete alipata ushindi katika mikoa 11 wakati Dr. W.P Slaa alishinda mikoa 10. ukiangalia utaona kwamba CCm ilishinda japo kwa wigo mdogo sana, je nikwanini tume ya Mh. Kiravu haikutangaza matokeo hayo yaliyopatikana katika vyanzo?
Hapo wote wawili wako below 50% hivyo uchaguzi ingebidi urudiwe tu hakuna mshindi. Mchezo ungekuwa mtamu kweli maani ingekuwa ni hao wawili tu.
Hapo wote wawili wako below 50% hivyo uchaguzi ingebidi urudiwe tu hakuna mshindi. Mchezo ungekuwa mtamu kweli maani ingekuwa ni hao wawili tu.
Dr mkutano wake umezimwa na Vyombo vya usalama ameambiwa afanye mkutano (press conf) baada ya siku 4 zijazo toka Jana...sasa ikawaje tena? mkutano wa dr wa ukweli umeishia wapi tena.......
\hii tumeishaijadiri hapa tafuta thread ya superman upae undani