Elections 2010 HUU DIO UKWELI WA MAMBO?(Tanzania Bara)

Mutwale

Member
Oct 20, 2010
67
19
Kufuatia babari na taarifa zilizo patikana kutoka kwa mawakala wa mgombea wa CHADEMA, wametua tawimu zilizo kusanywa nchi nzima na zinaonyesha kwamba mgombea wa chama tawala CCM J.M. Kikwete alipata kura halali asilimia 44.56% wakati Dr. W.P Slaa alipata 44.45% na kwamba J.M Kikwete alipata ushindi katika mikoa 11 wakati Dr. W.P Slaa alishinda mikoa 10. ukiangalia utaona kwamba CCm ilishinda japo kwa wigo mdogo sana, je nikwanini tume ya Mh. Kiravu haikutangaza matokeo hayo yaliyopatikana katika vyanzo?
 
Hapo wote wawili wako below 50% hivyo uchaguzi ingebidi urudiwe tu hakuna mshindi. Mchezo ungekuwa mtamu kweli maani ingekuwa ni hao wawili tu.
 
\hii tumeishaijadiri hapa tafuta thread ya superman upae undani
 
yap

yule jamaa amepatikana? yule jamaa wa chadema aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha?
 
Kama amepatikana, basi nafikiri ilikuwa ni mpango wa kijasusi wa Chadema kumficha ili afanye kazi yake vizuri!
 
Hapo wote wawili wako below 50% hivyo uchaguzi ingebidi urudiwe tu hakuna mshindi. Mchezo ungekuwa mtamu kweli maani ingekuwa ni hao wawili tu.

No no no. Katiba inasema mshindi ndiye rais hata kama atashinda kwa below50.
 
Jamani mheshimiwa mwenyewe alikiri kwamba ilibidi watumie nguvu ya ziada.huu ni ushaidi tosha kwamba walituibia mnasemaje wadau?
 
Hapo wote wawili wako below 50% hivyo uchaguzi ingebidi urudiwe tu hakuna mshindi. Mchezo ungekuwa mtamu kweli maani ingekuwa ni hao wawili tu.

bi Mkora,katiba ya nchi gani unayotumia? Katba ya tz inasema ata angezidi kura moja angekuwa rais,ina maana ata 0.009% tayari angekuwa rais wa JMT. Hapa ni kwamba dr. angekuwa kashindwa kdogo lakn angepata heshima kubwa na jeykey angeonekana wa kawaida,ila kwa sasa ili tawi la ccm yani Nec wanatuonea sana.
 
sasa mzee mutwale ungetupa source atleast kimsingi kwa hiyo data hakuna mshindi hata tuki i round tunapata 45% wote proportinal ya kura zote,

sasa wayfoward ni ipi wadau mana wengine ndio tunapata uchungu zaidi.

Mzee Gomezi
 
YOU MAY HAVE TO FIGHT THE BATTLE MORE THAN ONCE TO WIN IT by Margaret Thatcher, therefore Mapambano yanaendelea Dr.Slaa lazima aingie nguvu ya umma
 
Gomezi, usiangalie sana %. zingatia idadi ya kura: JK alipata 5921447.4125 na Dr Slaa alipata 5907913.5235 tofauti hapa ni kwamba JK alipata kura 13533.889 zaid ya Slaa. Ki aslimia tofauti haipo sana. lakini ukiangalia real numbers unaona kuwa JK alishinda; na angeweza kuwa mshindi kwa kumzidi Slaa kwa kura moja; sasa kamzidi kwa 13k plus. Kama wasingechakachua hata hapo; kama wasingewaelekeza wazee na wasiojiweza kumpigia JK eti kwa sababu eti "slaa" kajitoa. Slaa angekuwa Ikulu.

Iko siku!
 
watu wengine bwana, mlitegemea NEC waipendelee chadema? aliyekuwa akimkaimu Makame Lewis ndiye ameteuliwa mwanasheria mkuu zanzibar na mheshimiwa shein!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom