Mutwale
Member
- Oct 20, 2010
- 67
- 19
Kufuatia babari na taarifa zilizo patikana kutoka kwa mawakala wa mgombea wa CHADEMA, wametua tawimu zilizo kusanywa nchi nzima na zinaonyesha kwamba mgombea wa chama tawala CCM J.M. Kikwete alipata kura halali asilimia 44.56% wakati Dr. W.P Slaa alipata 44.45% na kwamba J.M Kikwete alipata ushindi katika mikoa 11 wakati Dr. W.P Slaa alishinda mikoa 10. ukiangalia utaona kwamba CCm ilishinda japo kwa wigo mdogo sana, je nikwanini tume ya Mh. Kiravu haikutangaza matokeo hayo yaliyopatikana katika vyanzo?