Huu co utapeli?

Kilosaone

JF-Expert Member
May 3, 2015
407
216
Kuna jamaa wanatangaza kule fb kua wanaunganisha line za airtel, Vida com na Tigo ktk ofa ya university. Wanataka pesa kabla ya Ku to a huduma, je hao co matapeli? Angalia screen shot ya sms zao.
Screenshot_20191013-104942.jpeg
 
Mie huwa nashangaa mnavyohangikaga na hizo line za chuo!! Mie huwa sina mpango nazo maana zinalemaza tu akili ya kutafuta.
 
Back
Top Bottom