Ndiyo maana nimesema 'wengi' na pia mleta mada hakuweka muda wa kutoka,hii ni iliyoweka ni nyongeza yenye kejeli isiyo na ukweli, unataka kuniambia yeye kila siku anapita kwa Mzee Mwinyi kumsalimu?
Kikwete alikosa mbunge mwenye sifa ya kuwa waziri wa afya kutoka Tanzania bara ikabidi achukue mbunge kutoka Zanzibar ili aongozi wizara ya afya ambayo ni kwaajili ya Tanganyika tu kwani afya si ya muungano