Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.[/QUOTE
Kwani kazi ya waziri ni nini?
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
Kama kuna ukweli kuhusu hili inabidi abadilike mara moja, lakini haya yote ni kazi za kupeana tu, mtoto wa mwenzetu, mara mzee alinitoa kusini nk, haogopi kupoteza kibarua.
Ushauri: Kwa vile yeye bado ni kijana ana safari ndefu katika medani ya siasa abadili tabia mara moja kama nilivyosema hapo juu, awahi ofisini mapema iwezekanavyo, aache tabia za kisultani, hajui 2015 atakuwa nani na kwa tabia hiyo hapana.
Mawaziri wote hakuna anayeripoti ofisini saa 1.30 asubuhi labda kuwe na shughuli maalumu. Lakini pia wengi wanatoka ofisini usiku! Kwahiyo wanafidia muda wa asubuhi wanaochelewa.
Ndio tabu ya kuajiri mizanzibar mijitu mivivu kama nn sijui wanaipendea nn.
hivi unajua Overtime ya Waziri ni kiasi Gani? chezea Serikali wewe huko kuchelewa kutoka wizarani ni aina ya kujiongezea Pato tu Ukiona mtu anafanya kazi zaidi ya Muda uliopangwa basi ana vitu kadhaa either ni Mvivu au hayuko makini na kazi nikimaanisha anakosea kosea hivyo inamrazimu kurudia rudia kazi hadi muda unaisha... hakuna mtu makini anayefanya muda wa ziada... kila siku hii hutokea kwa nadra sana kama amechelewa na analipa muda au kuna ongezeko la kazi na huwa ni kipindi maalum tu...Mawaziri wote hakuna anayeripoti ofisini saa 1.30 asubuhi labda kuwe na shughuli maalumu. Lakini pia wengi wanatoka ofisini usiku! Kwahiyo wanafidia muda wa asubuhi wanaochelewa.
nasikia jamaa anapenda totos sana, na kama baba yake, ni mzee wa ruksa hata kwa mambo yanayohitaji utaalamu, anaruhusu huku akipinga ushauri wa kitaalam. Tetesi ni kuwa ati ndiye presidaa ajaye,?????Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
kama leo ukimuona saa 4 asb,ujue jana j2 katoka saa 2 usiku.Tehe tehe tehee...!Unafahamu na muda anaotoka pia mkuu? pengine anatoka saa2 usiku!
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
Kumbe Mwinyi ni mzanzibari :lying:
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
Ndio tabu ya kuajiri mizanzibar mijitu mivivu kama nn sijui wanaipendea nn.
Mawaziri wote hakuna anayeripoti ofisini saa 1.30 asubuhi labda kuwe na shughuli maalumu. Lakini pia wengi wanatoka ofisini usiku! Kwahiyo wanafidia muda wa asubuhi wanaochelewa.
Anatoka saa 9:30 jioni, anapitiabkumsabahi baba yake, then tunajirusha naye vijiwe
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
hii tabia ya kufuatilia maisha ya watu hapa jf hatuipendi. Mwache waziri mwinyi achape kazi yake.
Kwa nini wazifidie, kwani hizo siyo shughuli za uma zilizo katika majukumu Yao? Usisahau kuwa ni wabunge pia na JD zao zina haya majukumu pia. Binafsi nitamchagua role model wangua anayetimiza malengo na siyo anayekwenga ofisini mapema au hata kulala ofisini lakini hatimizi malengo wala wajibu wake!Yeye ni roll model wetu anatakiwa awe mfano pia kufidi muda wanaokuwa kwenye shughuli za majimboni, siasa n.k.
Uwaziri ni moja ya kada zisizo na overtime!hivi unajua Overtime ya Waziri ni kiasi Gani? chezea Serikali wewe huko kuchelewa kutoka wizarani ni aina ya kujiongezea Pato tu Ukiona mtu anafanya kazi zaidi ya Muda uliopangwa basi ana vitu kadhaa either ni Mvivu au hayuko makini na kazi nikimaanisha anakosea kosea hivyo inamrazimu kurudia rudia kazi hadi muda unaisha... hakuna mtu makini anayefanya muda wa ziada... kila siku hii hutokea kwa nadra sana kama amechelewa na analipa muda au kuna ongezeko la kazi na huwa ni kipindi maalum tu...Kama waziri ni mcelewaji basi anakiuka kanuni za Kazi HR wake waziri mkuu anatakiwa amshughurikie kwani anasababisha upotevu wa maendeleo kama mtu alienda wizarani kwa shida ya kumuona waziri analazimika kuspoteza muda wake kisa waziri kachelewa kufika officean alikuwa anapaka wanja