GE2025 Hussein Machozi asema Oktoba atatoka

GE2025 Hussein Machozi asema Oktoba atatoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Msanii wa Bongo Fleva, Hussein Machozi ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kama wako 1000 basi naye atakuwa mstari wa mbele kama wa 1001 hiyo Oktoba.
Screenshot_20251009_195201_Instagram.jpg
 
Msanii wa Bongo Fleva, Hussein Machozi ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kama wako 1000 basi naye atakuwa mstari wa mbele kama wa 1001 hiyo Oktoba.View attachment 3486274
Bado sijasikia kwa dada machozi na yule kaka bilionear aliyebebwa na anayebebwa na basuta licha ya uchafu na uharamu wa kazi zake chaaafu za kumomonyoa maadili ya taifa hili.
 
Eeh Mungu tuweke hai hadi tarehe 29 tuuone tena unafiki , usaliti na Unyumbu wa watanzania.
 
Anaishi zake Italy kwa manzi wake Mzungu. Hivyo jeuri ya kumteka hawana. Wahuni ujanja wao wote ni kwenye hii nchi tu ya wadanganyika.
watekaji hawatashindwa kumpandia huko aliko
 
Back
Top Bottom