Hussein Bolt akiitumikia CCM

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,025
Reaction score
16,135
Mwanariadha aliyewahi kutikisa katika mbio fupi ameanza kuitumikia timu yake mpya ya mpira wa miguu. Timu hiyo ya CCM imekuwa na matokeo mazuri ilipokutana na CCS. Bolt aliingia kipindi cha pili wakati timu yake ikiongoza kwa goli 6. Hope Ali Kiba naye ataanza kuitumikia Coastal Union hivi karibuni hususan pale timu yake itakapokuwa inaongoza!View attachment 854076View attachment 854077

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…