Hussein Bashe na kisa cha watumwa wawili

Mkuu umeongea maneno ya msingi sana na sehemu kubwa nakuunga mkono, hususan paleuliposema kuwa Mambo kibao ya kishenzi, kinyama na kikatili yamefanyika nchi hii lakini hawa wazee wetu hawakusimama kidete kukemea.

Hata hivyo mtu huwa hajachelewa kufanya the right thing, na ni makosa kutofanya kitu sahihi katika muda fulani eti kwa sababu zamani ulikuwa unafanya mabaya.

Lakini pia kila kitu huja huja kwa sababu maalum, huenda hili la wao kuanza kuguswa imekuwa ni awakening call kuwa sasa Chatu waliyemlea ameanza kutafuna wanafamilia adhibitiwe sasa!.

kwa hiyo pamoja na wazee wetu kuzingua hapo mwanzoni, lakini walichokifanya wakati huu ni kitendo sahihi, cha kijasiri na wamesimama kwa niaba ya wanaCCM wote wanaotaka SIASA SAFI na UONGOZI BORA

Tatizo langu nashindwa kuwaunga mkono hawa wazee, ukiacha kwamba wamegusa eneo ambalo sisi wapinzani tumelipigia kelele toka awamu hi ingine madaraka, lakini kiukweli malalamiko yao sio ya kukomeshwa siasa chafu nchini au utawala wa mabavu, bali ni kulinda heshima zao. Sasa mtu anayetetea heshima yake unawezaje kusema ana faida kwa wote?

Kwa taarifa yako hao wazee wanafiki wakihakikishiwa kufichiwa mambo yao, hata wapinzani wachinjwe hapo uwanja wa Taifa hawataongea lolote, sana sana siku hiyo ya mauaji wataenda kutembelea mradi wa SGR. Tuwe makini kutetea mashetani wanapogombana na maibilisi.
 
The problem siyo kufichiwa madhambi yao, maana siku zote CCM wanalindana, na mpangaji wa nyumba ya Ikulu Dar es salaam bila shaka hana sababu za kuwaingilia hawa wazee kwa sababu na yeye siyo mpiganaji halisi wa ufisadi!. angekuwa ni mpiganaji halisi tungeona watu wa maana kwenye pingu sasa hivi, lakini yeye huishia kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, "tumeibiwa sana", "ninapambana na mafisadi", "ninanyoosha nchi". Lakini ukiangalia mpaka leo hii ni mafisadi wangapi wako lupango namba hazisapoti matamko yake ya mara kwa mara mbele ya vyombo vya habari. Kwa hiyo ishu hapa siyo kwamba mpangaji wa nyumba yetu ya Ikulu yuko serious kuwachukulia hatua.

To me ninachokiona ni kwamba hawa wazee hawaridhiki na namna Don King anavyoendesha nchi, na huenda kwenye vikao vyao wameshamweleza lakini akawa hataki au ameweka kinyongo. Kwa hiyo mbinu ambayo Don King ameamua kutumia ni kuwachafua hawa wazee kama STRATEGY ya kuwapunguzia ushawishi ndani ya chama na mbele ya macho ya umma ili baadae afanye kama vile Zitto alivyosema, aweze kujikasimisha madaraka makubwa kabisa na hata ikibidi kuendesha mambo KIIMLA kabisakabisa. Nahisi hapa wazee wameliona hili na wameona sasa this is a red line!. Na kwa bahati nzuri wamepata platform ya kusemea baada ya hili jambo kutokea!.
Don King alikuwa anataka kufanya "PURGE" ili awe na absolute control ya chama, Sasa hivi ana absolute control ya seriklai lakini Chama bado hajakishika ipasavyo

Mimi ninaamini wazee hawa wana baraka za wastaafu wote na ninaamini huu ni mwanzo wa kurekebisha siasa chafu ambazo zilikuwa zinajikita mizizi.

Kumbuka hawa wazee wao waliamua kudeal na wapinzani kwa kufanya siasa, kwa kwenda kijiji hadi kijiji, kata hadi kata kuinadi CCM. Hawakutumia nguvu nyingi za Polisi kama CCM ya sasa!.
CCM ya Sasa ni inafanya siasa za kibabe za kutumia nguvu nyingi mno za Polisi. CCM ya sasa bila polisi ni nyepesi mno kuliko CCM ile ya Mzee Kinana na Nape!. Hata Juzi Mwenyekiti wa CCM ameshukuru majeshi kwa kufanya kazi ya kuisaidia CCM!.
So anything positive must be celebrated, huu waraka wa hawa wazee ni zawadi ya July kwa Watanzania!
 
Mkuu nimeridhika na hoja zako kwani naona zimebeba mambo yenye uzito, tatizo langu kwa hao wazee hakuna popote wanaonyesha kwenye huo waraka kwamba ni tatizo la wengi, bali wanaonyesha ni tatizo lao wastaafu wanaokashifiwa. Sisi wengine tunachofanya ni kuonyesha wanamalalamiko sahihi, lakini ni kwakuwa wakikalia kimya uovu na wao ni sehemu ya hata maovu. Sasa tunawaonyesha fika hata wao sio wasafi kama wanayepambana naye, japo wanayepambana naye ni mkatili, hivyo tunawajumuisha wote pamoja, kisha tutachambua mmoja mmoja huko mbele. Ndio maana nasisitiza hivyo ni vita vya shetani aliye madarakani, dhidi ya maibilisi waliostaafu.
 
Anayewachafua wao akidhibitiwa ni suluhisho la wengi wanaochafuliwa, maana amejipambanua kuwa mchafuzi wa watu wote wanaolikosoa jiwe
 
Back
Top Bottom