Hussein Bashe aongea na vyombo vya habari

Inv, heading yako inasema "H. Bashe aongea na vyombo vya habari " tuambie ameongea nini, unasema ameongea then unaanza speculation.

inaonekana hujawahi ona threads za developing news? unakuwa unapata real time updates za tukio.
kuwa mtulivu na muache mkuu ashushe vitu hapa.
 

Machinga hawana taimu na mafisadi. UVCCM ijivue gamba. Bashe na Beno walidhihirisha wazi wapo upande gani. Hakuna jipya
:bange:
 
Kwa maelezo ya Bashe, watatumia asasi za kiraia zinazojihusisha na siasa kuijenga/iimarisha UVCCM. Hapa nimewaza sana, najaribu kujiuliza asasi gani hizi?
 
Kwa maelezo ya Bashe, watatumia asasi za kiraia zinazojihusisha na siasa kuijenga/iimarisha UVCCM. Hapa nimewaza sana, najaribu kujiuliza asasi gani hizi?

Mkuu unatupoteza, hizi updates weka kule juu mkuu.

Watatumia, HAKI ELIMU, TGNP, TWAWEZA, AGENDA PARTICIPATION etc
 
mmmmh huyu mmanga bado tu hatuachi wananchi na futuhi zao za umoja wa vilaza ccm chini ya joka lao kuu kingunge
 

lete vitu mkuu
 
Kila mtu anatakakuitisha mkutano na waadishi wa habari,sasa hii imekuwa ni fujo sio taarifa tena.
Basi hata mimi nitakuwa na mkutano na waandishi wa jamiiforum hapo kesho kuanzia saa nne 4:00am.
Tafadhali waandishi wote wa Jamiiforum msikose kuna mjadala mkubwa sana utafanyika kesho hapa hapa JAMIIFORUM.
Karibuni wote wenye itikadi na wasio na itikadi za kisiasa au za kidini,za kielimu au za kimachinga.Wote tuko sawa
 
Inv, heading yako inasema "H. Bashe aongea na vyombo vya habari " tuambie ameongea nini, unasema ameongea then unaanza speculation.

mkuu kiswahili umesomea wapi mkuu? Maneno kama "aongea" hayana tense,ina maana labda jana,leo au baadae. Akisema 'anaongea', ameongea au ataongea ndo ungelaumu!
 
mkuu kiswahili umesomea wapi mkuu? Maneno kama "aongea" hayana tense,ina maana labda jana,leo au baadae. Akisema 'anaongea', ameongea au ataongea ndo ungelaumu!

jamaa anadhani invinsible ni maimuna.
 
Hapo sawa mkuu.

Suala la uraia wa Bashe mbona halina utata? Huyu bwana ni wa kutoka ukoo wa Darood kutoka jimbo la Puntiland. Ni ukoo maarufu kwa uharamia na mimi nilifikiri wakati mzuri kuondoka ulikuwa ni pale Rais wa Serikali ya Mpito alipokuja kufanya ziara hapa.

Haya mambo ya kumwacha atambe tambe ndiyo baadae anakuwa kama Rostam halafu kumtoa inakuwa ni issue mpaka maandamano. Ni fisadi chipukizi ambaye anatakiwa kung'olewa.
 
Bashe kasema umefika wakati CCM lazima ikubali kufanya siasa nje ya chama! Mtu ndani ya UVCCM akipata kuhudhuria mojawapo ya mikutano ya BAVICHA na akaona hoja inayoongelewa ni ya msingi na manufaa kwa nchi basi isiachwe kisa ni kutoka upinzani.
 
halafu huyu mmanga unaweza kukuta ndio aliyeagizwa akamlete yule Jamaa wa Al Shababu kuja kumshughulikia Dr.Mwakyembe
 


mkuu lakini unakatika-katika sana.

ahsante kwa updates.
 
Juzi Nipe naye, jana rithone, leo Bwashee, kesho born maliza, mtondogoo, Kingi kambale mwitu,...hakuna msemaji hata baada gamba kuvuliwa!!!
 
wezi tu hawa....tunawapa muda na pumzi zetu badala ya kuwatoa! kila siku tunaimba nao na kucheza nao ngoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…