Kwani hiyo kijani na njano sio alama ya chama chako!Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
bashe sio jeuri, ni kiongozi na muwakilishi mzuri wa wananchi, anazungumza kwa data, anatumia proffesional na hekima kujudge mambo, i wish i could be bashe
We acha tu! HahahahahaHao ni wakeleketwa siyo wakereketwa, ni wakuwapuuzia tu
ACHA UONGO AHAMIE CDM KAMA ATARUDI BUNGENIAnajua hata akitoka CCM akaenda chama kingine cha siasa bado ataendelea kuwa mbunge kutokana na heshima aliyojijengea
TULISHA MJUA BASHE MUDA MREFU HAWEZI KUTUUMIZA KICHWAHuyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
kumbe Ni msomari? Vp akiitwa uhamiaji mapovu hayatawatoka? Maana wabongo hamueleweki Ni nini mnachokisimamiaWasomali ni watu jasiri acha kabisa, nafikiri ni kwasababu ya kula sana miraa!
wapo wengi tu mfano rageUmewahi kuons wapi msomali muog?
Wewe hovyo Sana huo ndiyo mwisho wako wa kufikiriCcm mbunge ni bashe tu. hawa wengine ni wapiga debe.
Mwambie yule mgombea Uraia embate sahv ni wazir akafute Jina lke aliyoandika kwenye kile kidaraja hko bunjuMwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...