Husninyo Pokea Proposal

Sasa 52 ! Nimekuelewa , pamoja sana ! Unajua Erick ni katika watu ambao tangu nimejoin Jeif , umekua tunakua pamoko sana jamvini .
Shortly . Mwambie Amy aanze kushughukia kuwasiliana na wenzake atapewa majukumu yake kwenye kamati.
Na wewe utaratibu utaletewa.
 
Sasa haya ndo maneno....
Najitolea 80% ya budget yote ya harusi pamoja na gharama ya hotel mtakayoenda honeymoon....
Nimefurahi....Ntatangaza kamati yangu uone nilivyo juu
 
Tangaza Baba
Tangaza !
Batangazie !
Itampa hope "Mama ya Boma"mtarajiwa Husny ajue , mbelewele ndiyo hizoo zinatoka, uvunaji wakati wowote unaanza.
 
Amy yupo kwangu
 
utauza ile toyo yako?
 
Tangaza Baba
Tangaza !
Batangazie !
Itampa hope "Mama ya Boma"mtarajiwa Husny ajue , mbelewele ndiyo hizoo zinatoka, uvunaji wakati wowote unaanza.

Ama kwel wajinga ndo waliwao. We haujui kuwa Erick anam mendea Husny?
 
Natangaza mzee ngoja shem wako aje anisaidie kuchuja wenye majungu kwanza...
 
Tangaza Baba
Tangaza !
Batangazie !
Itampa hope "Mama ya Boma"mtarajiwa Husny ajue , mbelewele ndiyo hizoo zinatoka, uvunaji wakati wowote unaanza.

Ama kwel wajinga ndo waliwao. We haujui kuwa Erick anam mendea Husny?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…