Husninyo Pokea Proposal

Hahahahaaaa Jux ni kapotabo yan Husny atakazaba kibao kimoja hadi kazimie...
Ukute kaliyekuwa kanampenda ni Judgement....lol
huwezi jua coz hakumtaja jina
 
watu wawili nahitaji kufuta nao uswahiba...
 
Usinikumbushe Jux
alinilaza msalani siku mbilia naendesha trekta.

lol, binti yule sijui alitumwa na nani.
Hahahaha! Pole konnie kumbe ndo yalikukuta makubwa hivyo?...lol, bora my wii alitokeza akamkimbiza asee!
 
Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....
 
mapozi ya amy yamekufanya utange tange mtoto wa kiume. Mapozi chumbani wewe.

Teh mtoto kafika hapa....wapi atapata mambo ninayompa???
Habanduki ng'ooo ingawa kuna watu wamepiga majungu tuachane ila hamtuwezi...waambie na akina somebody....lol wanajijua
 
Haijalishi
usiku watu wote hulingana
hakuna anayeomba kigoda wala nini

Tena ukizingatia bado una majeraha makali....
Hivi Judgement anakufikia wapi??
Kiunoni au mabegani??
Sidhani km kakuzidi au mko sawa kwa urefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…