kasuku mtu JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 321 Reaction score 94 Feb 21, 2013 #21 Hivi kumbe mwanamke anaruhusiwa kumtafuta mwenyewe mchumba?na sio mwanaume amtafute mwenza anae mfaa...hembu tuliweke sawa hili jamani humu ndani....nawasilisha.
Hivi kumbe mwanamke anaruhusiwa kumtafuta mwenyewe mchumba?na sio mwanaume amtafute mwenza anae mfaa...hembu tuliweke sawa hili jamani humu ndani....nawasilisha.
LOVED Member Joined Jan 23, 2013 Posts 49 Reaction score 24 Feb 21, 2013 #22 Nina hamu na wewe byna,,maana nimewahi kuishi Biharamulo ila kama hujampata mpaka sasa ni PM nikueleze jambo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nina hamu na wewe byna,,maana nimewahi kuishi Biharamulo ila kama hujampata mpaka sasa ni PM nikueleze jambo
daniel sr. lighton Member Joined Feb 12, 2013 Posts 27 Reaction score 6 Feb 21, 2013 #23 mugnu akusaidie
bensog26 Senior Member Joined Feb 21, 2013 Posts 159 Reaction score 23 Feb 25, 2013 #24 byna said: Nina miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli Click to expand... ukishindwa kupata nipo nasubiri najua watakuja wengi sababu we mpya !!
byna said: Nina miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli Click to expand... ukishindwa kupata nipo nasubiri najua watakuja wengi sababu we mpya !!
W WAVISA JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 229 Reaction score 60 Feb 25, 2013 #25 Shark said: Kumbe we shida yako ilikua umuonje utamu tu mkuu WAVISA?? Samahani bana, sikujua aisee. Click to expand... jichoz na hamuz pawa ndio chanzo cha ndoa na yote, ungekuta ningemuonja zen mkuu shark mengine yangefata, we unataka nipata dhambi ya kuongopa kuwa nimuoe sjui, bila kuonja? ila ukanda ule watamu sana jamaa yangu jaribu kama vp.
Shark said: Kumbe we shida yako ilikua umuonje utamu tu mkuu WAVISA?? Samahani bana, sikujua aisee. Click to expand... jichoz na hamuz pawa ndio chanzo cha ndoa na yote, ungekuta ningemuonja zen mkuu shark mengine yangefata, we unataka nipata dhambi ya kuongopa kuwa nimuoe sjui, bila kuonja? ila ukanda ule watamu sana jamaa yangu jaribu kama vp.
W WAVISA JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 229 Reaction score 60 Feb 25, 2013 #26 We byna mbona hujibu sasa jumbe zangu?
M mwana mpendwa Senior Member Joined Oct 6, 2012 Posts 171 Reaction score 21 Feb 27, 2013 #27 kila la kheri ndugu yangu.
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,963 Feb 27, 2013 #28 byna said: Nina miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli Click to expand... Tuwekee na picha yako full ili tuona na kama wewe ni mtanashari?!!! Ha ha ha!!
byna said: Nina miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli Click to expand... Tuwekee na picha yako full ili tuona na kama wewe ni mtanashari?!!! Ha ha ha!!
Mfikiri JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 586 Reaction score 125 Feb 27, 2013 #29 Subiri UKWAJU aje..
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Feb 27, 2013 #30 byna said: Nina miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli Click to expand... weka picha
byna said: Nina miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli Click to expand... weka picha