Husband coming home at 4am? is that ok?


Hebu pitia huu uzi wawezapata pa kuanzia..............

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kuelekea-nyumba-ndogo-zinavyoanza%85%85.html
 
ebana kama vp njoo nikuuzie playstation 2..awe anacheza home..na niko na series kama mia tano hv kwenye tera byte..yangu..plus ntakuongezea games za fifa13, need for speed the run,most wanted everything...jamaaa asizingue huyo ps2 150k,,kama vp mnunulie akae home..hapo alaaaahhhh
 
Bado ni mvulana akishakua mwanaume yote yataisha,onyesha furaha kwake then tafuta week end moja nzuri unongone nae kwa upole na mahaba akwambie nini tatizo ili lirekebishwe, vinginevyo jifunze kumzoea ili uepuke gharama.:A S-heart-2:
 

It is not OK.
Kwa vile ndio kwanza mmeoana bado kichwani ana ile akili ya uhuru wa ki-single, sijui ana umri gani, jaribu kumbadilisha taratibu atabadilika. Kama alikuwa ni mtu wa kujichanganya sana na marafiki zake + kwenye blue + kama ni mpenzi wa kuangalia michezo kwenye TV(ni raha ya aina yake kushiriki hivi vitu na washkaji), itachukua muda kumbadilisha lakini utaweza tu, kuwa creative tafuta mbinu za kumbakiza nyumbani.
 
Usijali kitu cha august patakuwa hapatoshi ndani ya waterfront,,

Itabidi unisindikize hadi kwenye send of rock city
duh tena august ni my annual leave aisee! sijui niwe maid kabisa
 

Huyu mume anaonekana ni serious gamer,, ps2 haitamfaa maana ni ya kizamani sana..

Dada ajichange tu amnunulie Playstation 4 sony wamesha announce kwamba cristmass holidays 2013 itakuwa on sales huko majuuu...

Amuongezee na bill gates X box 720 which comes early aprill...

Dada ajiandae na budget tu maana hizo bei zake sasa balaaa
 

Gharama zote za nini? Ajinunulie mwenyewe kama kweli anafataga game huko!
 
hahahahahaha haya magemu bana hiyi 360 tu bei yake ni hatari..sasa hayo uliyoyataja siyapimii..ila these games are addictive..nakumbuka long time naamka saa tatu nacheza game mpk saa kumi nambili jioni hata kula nasahau..hahahahahaha
 
A good man comes from God,did u pray kabla hujampata huyo huz?
 

Video games.....huh?

 
Rafiki yake ameoa? Isijekuwa ana ndoa nyingine na rafiki yake.

I was smelling the same thing.There must be more than those movies....ebu ajaribu kuwachungulia in th emiddle of the night atagundua something fishy here.dunia imebadilika sana now
 
U aint over reactin ts ur responsibility 2 ensure he z safe..at the end of t u wil b the one 2 suffer.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…