Kuna binti mmoja hapa kijijini kwetu nilivutiwa nae, ila kukutana nae kumwomba namba ikawa ngumu sababu ya mazingira, tulikuwa tunafahamiana kwa sura..
Kwa vile ndugu yake yule binti ni rafiki yangu nikamwomba rafiki yangu namba ya yule binti, kwanza jamaa akanionya kuwa atakutukana, achana naye, mm nikakaza fuvu nikachukua namba yake..
Picha la kutisha linaanza, najitambulisha kwa binti kupitia text, anajifanya hanifahamu, nlimwomba radhi kuchukua namba yake bila ruhusa yake, nikijaribu kumweleza mm ni nani, alooo nilioga matusi ambayo hayaandikiki hapa, k.v niliitwa ms*ng*, k*ma, mwendawazimu, na maneno ya dharau kama vile usinizoee, koma,niteme wakati sijawahi mkosea chochote, na sio kwamba namsumbua kila mara kwenye simu io ndo mara ya kwanza kwanza namtext..nilishangaa sana. nilisubiri siku chache nikam-text tena, mwendo ni ule ule nilishangaa sana, huyo dada matusi, alimwambia nduguye, kubwa mimi balqior namsumbua, wakati akichat na mm anajifanya hanijui.
Dada wa watu hakujua kama nilikuwa nina nia nzuri nae, Nlikuwa nshaandaa bajeti ya ku-spend nae, ikiwezekana nimsajili kabisa, kweli tangu nianze kutongoza wadada sijawahi tukanwa ivo, kuuliza uliza kwa ndugu zake kichini chini nasikia ni mtu wa maneno/ana mdomo.
Najiuliza huyo mdada akija kuolewa, atakuja kuwa mke wa namna gani kwa mumewe??? sipati picha.
Tupia kapicha basiKuna binti mmoja hapa kijijini kwetu nilivutiwa nae, ila kukutana nae kumwomba namba ikawa ngumu sababu ya mazingira, tulikuwa tunafahamiana kwa sura..
Kwa vile ndugu yake yule binti ni rafiki yangu nikamwomba rafiki yangu namba ya yule binti, kwanza jamaa akanionya kuwa atakutukana, achana naye, mm nikakaza fuvu nikachukua namba yake..
Picha la kutisha linaanza, najitambulisha kwa binti kupitia text, anajifanya hanifahamu, nlimwomba radhi kuchukua namba yake bila ruhusa yake, nikijaribu kumweleza mm ni nani, alooo nilioga matusi ambayo hayaandikiki hapa, k.v niliitwa ms*ng*, k*ma, mwendawazimu, na maneno ya dharau kama vile usinizoee, koma,niteme wakati sijawahi mkosea chochote, na sio kwamba namsumbua kila mara kwenye simu io ndo mara ya kwanza kwanza namtext..nilishangaa sana. nilisubiri siku chache nikam-text tena, mwendo ni ule ule nilishangaa sana, huyo dada matusi, alimwambia nduguye, kubwa mimi balqior namsumbua, wakati akichat na mm anajifanya hanijui.
Dada wa watu hakujua kama nilikuwa nina nia nzuri nae, Nlikuwa nshaandaa bajeti ya ku-spend nae, ikiwezekana nimsajili kabisa, kweli tangu nianze kutongoza wadada sijawahi tukanwa ivo, kuuliza uliza kwa ndugu zake kichini chini nasikia ni mtu wa maneno/ana mdomo.
Najiuliza huyo mdada akija kuolewa, atakuja kuwa mke wa namna gani kwa mumewe??? sipati picha.
kisa tu amekukataa?? sio vizuri....Tafuta hela mkomeshe piga, lizalishe afu liache.
Mimi sideal na wasichana nilishapita huko, naongea na mtu mzima anaejielewa.Alipokutukana ulimjibu nini? Nashauri huyo mwanamke apewe Dr Matola PhD 🤣🤣