Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,330
- 829,476
Kwa imani za Buddhism, Brahma, Taiosm, Kshna/Krisna nk wanaamini kabisa kuna hungry ghost, viumbe mizimu watesekao mno kutokana na matendo yao mabaya waliyotenda walipokuwa binadamu kamili, hawa tunawafananisha na viumbe waishio jehanam kwenye moto na joto kali kwa imani za Kikristo na Kiislam.
Hungry ghost ni viumberoho vinavyoteseka na njaa na kiu kali na kila wanachojaribu kula au kunywa kikipita tu kooni huunguza na moto mkali, ndio maana kwenye kila mno hufanyika dua maalum 'chanting' kuwaomba miungu wawaondolee karma mbaya na chakula kiweze pita kooni!
Ni imani ya wenzetu wasioamini Mungu mmoja lakini inawiana kwa kiasi fulani na sisi tunaomwamini Mungu mmoja.