Huna bwana huna mume huna kingast una nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huna bwana huna mume huna kingast una nini??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Mar 30, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,686
  Trophy Points: 280
  Jamani tuna landlord etu yaani tuko nae hapa hapa yeye hana mume alishaachika nadhan alitendwa sana enzi za ujana wake lakini naona tendo la kutokuwa na mtu linautesa sana jamani

  yaani yeye bila kutukanana na watu kila siku ajafurahi mpaka majuzi dada mmoja kaama kaita matarumbeta watu wakahisi sherehe kumbe anamuaga mama kwa mafumbo na maishiri watuu wakajimwaga binti akaondoka na gari limejaa vitu vyake ...haooo

  jamani hivi usipokuwa na mwenza ndi waathirika na hasira hivi ama sie ndie twageuka wenza yaani ukimwona na majiran wenzake awaongei utasema wake wenza...
  Kazi kweli kweli
  wenye kukaa
  nyumba za @@##$#$
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,686
  Trophy Points: 280
  Haya sasa matarumbeta unaretewa

  aibu yako aibu yangu

  aibu yakooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 3. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huenda hakupata washauri wazuri enzi hizo maana kuachwa au kuacha mwenzi wako ni kitu kinataka moyo kukabiliana nacho, some get through easly others wanabaki na frustration muda mrefu. anahitaji huruma huyo.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Du uswazi kiboko kweli yaani unakodi hadi matarumbeta kufurahia upweke wa binadamu mwenzako? Hiyo ni sadism; ni masadist pekee ndio wanavuka mipaka kwa wenzao; hata mktu kakosea ; masimango na mafumbo na matarumbeta! Du!
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Halo halo halo.
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ohooooooo yeshakuwa haya tena?:confused:
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Na wewe Pdidy ulivyo andika umekoseaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeh ..mtafutieni king'asti
   
 8. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hebu jaribu kuchukua nafasi halafu utuambie matokeo
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pd hii habari ungeiweka vizuri kama ilivyo kwa Dina Marios!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,686
  Trophy Points: 280
  yalaaaa wataka asinchaji kodi!!!!!!??garama yake waijua lakini!!!
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Eee bwana eeh! umemchoka namna hiyo nduguyo mpaka kumwombea kifo kibaya namna hii!:D
   
Loading...