Weeee mbona mchokozi rakini rafiki.... Huyu jamaa ni riporisi atakuweka sero mpaka 26 / 4 / 2020 [emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]Hakuna mambo ya kijinga kama mtu anapoandika Rakini badala ya Lakini.
jaman[/QUOT
Siwezi kukimbia nyumba nikawaachia mbwa
Tunafanya hivyo, but nyuzi za kuharibu mnazichangia kuliko za maanaMkuu wakulaumiwa ni nyinyi wenye busara mkikaa kimya ndio mnawapa nafasi wenye mawazo potofu kutawala.
Anzisheni nyuzi zenye kufundisha ,kuonya na kuelimisha. Na sio kulaumu kuwa jukwaa limeharibika.
We miss the old jf....
Mwisho wa siku tunatakiwa kuwa na jamii inayojiheshimu na inayojijenga kwenye msingi bora.Vumilia tu mkuu
Mawazo hayafanani kama fingerprints
Lakini jukwaa hili lililetwa kujenga mahusiano, urafiki, na mapenzi katika mwelekeo unaojenga jamii, sasa hivi humu thread nyingi zianaharibu zaidi kuliko kujenga. Humu sasa hivi watu tuafundishana punyetoBinafsi najifunza mengi tu humu mkuu, kuna mazuri na mabaya chukua mazuri mabaya yaache binadamu wote sio sawa usitegemee uwazacho wewe wengine wanawaza hichohicho wengine wanawaza ujinga.
Mi sijawahi kuona nyuzi zako za maana.Tunafanya hivyo, but nyuzi za kuharibu mnazichangia kuliko za maana
Inaezekana, maana hata Mimi niliambukizwa nikaambua ugonjwa wa Ku enjoy mambo ya kijinga sasa nimepata akili, so Yale ya kijinga nilipost nisamehe, nimeamua kurudi kwenye mstariMi sijawahi kuona nyuzi zako za maana.