kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,303
- 17,827
Kwani ni wa umri gani maarufu?Hahaha
Unatamani kijana wa umri gani
Kwani ni wa umri gani maarufu?Hahaha
Unatamani kijana wa umri gani
Hahaha yeahUsihofu siku ingine nitakuweka fent font
hawajamwaribu kweli?Rudisha mjeshi mzee yupo...
Sema kawa mpole tofauti na mwanzoni
Ulipotea ghafla bhana...Mbona hukuwahi kuniambia aisee?
Tuleni Daaaaku...
mpaka saa naneHahahani kweli...siku izi wadada wanamwendokasi!!![]()
![]()
Utasikia....jamani d, naomba mimba eeh ...![]()
![]()
![]()
Uzuri anawaloga kina paw na invisible kuepusha ban. Wa huku jukwaani hana shida na sisi

Sijamuona siku nyingii bhana, Mshana ndo kibokoNimesikia siku izi anawanga...huyu bazazi...![]()
![]()
![]()
Ni kisu kweli kweli....Hongera kwa kuwowa mke kisuuu...
Waache waendelee kula kwa maandishi
28sKwani ni wa umri gani maarufu?
Kila la heriWakuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hukuniona kwakuwa hukunitafuta....Ulipotea ghafla bhana...
Ila Nakukumbuka saaana
Unaakili sana, njoo upige nitalipa...Thanks again!!!
Mvi ni ishara ya bahati, ndo navyo sikiaga
Hakuna Awali mbovuuhawajamwaribu kweli?
sema now days mke kawa mkali sana...ila ngoja nimsake asee
Aiseeeh joanah nimemuota jana usiku![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hongera kwa mara ingineNi kisu kweli kweli....
Sidhani....Hukuniona kwakuwa hukunitafuta....
Wakuu..
Muwe na muda mwema.
Mungu awe nanyi...
Uzi uko pouwa!
Bye byeee![]()
Natumia redbullUnaakili sana, njoo upige nitalipa...