Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,394
- 1,070
uko siriasiWameachana ndomana nimekusogezea glass karibu mkuu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
uko siriasiWameachana ndomana nimekusogezea glass karibu mkuu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu sana mimi naitwa shedede au mzizi mkavu makao yangu makapuku
Njoo makapuku ndo utajua mimi nani?

Shua ee??Huyoo atakuwa wako daby anapolwa
Cc.silent heart
UmeonaeeHapo sasa mheshimiwa alijituliza moyo hata ningekua Mie simuachi
Yaan ni kwamba hayajakukuta tu ukarekodiwa na sio maarufuUmeonaee
Yale ni mambo ya kawaida tuu
Huyu mtoto Inna ndio ananiumiza kichwa sana.Nipo ndugu
Sema wanaume hatumisian ila long time bro
au unanishaur je?
Hamna bhanaYaan ni kwamba hayajakukuta tu ukarekodiwa na sio maarufu
Awe kama Yule wa gigi money ila sasa ni kukubal hlo Jambo ndio mtihanHamna bhana
Sa ndo usharekodiwa, onyesha msimamo wako
Anyongwe tuu
Watoto wanazaliwa kila siku

Hehehee. Yule kutwa anatetea wanaume wakorofi kwa wake zao au?
Namtafuta nikamchambe kwa id hii mupya

Atakuleta...sipajui
naunga mkono kukodoa
Awwwwww! I feel loved..
Babe,mm ni mpenzio kwa ile id nyingine. Au tuko wangapi?Bado nawaza hivi ww ni nani?![]()
Hapo ndo pagumuAwe kama Yule wa gigi money ila sasa ni kukubal hlo Jambo ndio mtihan
silent heart nakuelewa sanaBabe,mm ni mpenzio kwa ile id nyingine. Au tuko wangapi?