Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Anzia chini kwenda juu...ranking unaangalieje
Huyo shedede ni kisu balaa..
Kazi kwako mkuu..
Na ni vizuri ukafanya livestreaming ya mtongozo hapa hapa tukusaidie



Anzia chini kwenda juu...ranking unaangalieje



sio woga bro, mnajadiliana kwa kujuana tena kuna had wapenz humu

Ha ha haa daby chiz kweliNitaachaje kwa mfano... wewe wangu ati afe mbowe afe bashite afe gwajima
Nakuona nakuona !Hahaha kesho siku ya kazi bro. Fursa zilikuwa Jana.
Nshasema mnyonge tuwe na amaniAnataka kesi na the untouchable..
HahaaaAnyongwe tuu
Watoto wanazaliwa kila siku
hujaenda kupumnzika tuHaya nenda ukirudi
una uhakika lakini?????? kwa maana kun mtu sijui anaitwa trasend amemaind hapo sijui umemtaja dem wakeUsijali mimi ndo mzee mkavu ojilino
Mie naona zote ni zao bhana...Kuhusu ufake au ukweli sijajua bdo ila ile sauti ni ya wema. Labda ya mbowe ndiyo yenye walakini.
Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.
Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.



nahivi alitumia dompo 2 na balimi 6
silent heart nimemuelew.Anzia chini kwenda juu...
Huyo shedede ni kisu balaa..
Kazi kwako mkuu..
Na ni vizuri ukafanya livestreaming ya mtongozo hapa hapa tukusaidie
![]()
Unapotaka kupita mi nilishaga pita so go ahead mkuuMbona waguna mrembo?mm ndo bi mdogo eeh. Habari ndo hiyo

sasa mtu wko akiona nakupetpet hap si ntaletewa shida mim
pole sana mwanaume hutakiwi kuwa muoga hivyo istoshe hatuwi wapenzi Bali nimarafiki , pili sina mwanaume hata hukuJf Bali ni utani tuu na huwa unaishia humu humiWe natamani unyongwe tuu maana hamna namna inginenahivi alitumia dompo 2 na balimi 6
Unavyomuita uniombeage na msamaha
Unatongozwa na yule jamaa ujue..nahivi alitumia dompo 2 na balimi 6
Unavyomuita uniombeage na msamaha


