Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
hebu nifaamishe kidogo mkuuMimi ni mpezio wa zamani. Kwa ile ID nyingine

hebu nifaamishe kidogo mkuuMimi ni mpezio wa zamani. Kwa ile ID nyingine

Sitaki bhanaa mndaliiiBasi kwa msaada wa haraka piga namba hii 100
eeeh...Tuko jukwaani ujue
Usinifanye tuondoke zetu ome
SawaAya bhana nadhan Nina amani sasa,..
me na force undugu ivo ivo kibishi
we muite daby afu umpe dada yako mtakuwa mmeshaunga unduguAaaash!Tuko jukwaani ujue
Usinifanye tuondoke zetu ome
blo nimekuelewa ila hapo kwenye kujeng mazoe na wachumba za watu msalaNi mazoea tu... jenga mazoea na Watu utaona
Hayo ni maneno tu ba mkubwasio woga bro, mnajadiliana kwa kujuana tena kuna had wapenz humu
Nilikusamehe toka jana, Usijali kabisaa...
Yale ni ya kawaida mnoo, lakini nikupongeze kwa moyo wako kujali hisia za wengine...
Be free
JamaniiiiWewe wajua![]()
Aiseee kumbe watu mkiwa na id mbili mbili ndio mnavyokuwa hiviban ni nini dada
hahaha iyo tutaita ni undefineded hahah..Ni kweli kabisa mkuu.
Sema watu wanaogopana wewe fikiria siku @barbabosa wakutane na Salary Slip itakuaje? ??
Mmmhmamdogo mpya karibu sana kwenye familia
mkuu kwan huku kuna kutafuta rafik kama kule facebook nilipopazoeamkuu mwezi wa3 adi saa hii huna rafikii