Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KabisaaEeeeh!
Daby anataka kunihujumu?
KabisaaEeeeh!
Daby anataka kunihujumu?
Ndiwooo anamtafutia Sakayo mumeEeeeh!
Daby anataka kunihujumu?
Nimeokoka eti mimi... jana nilisikiliza nyimbo za malebo leo nimeamka nimeenda kutubu

Wewe huyoooNimeokoka eti mimi... jana nilisikiliza nyimbo za malebo leo nimeamka nimeenda kutubu
Aaaah unataka mpaka utajwe

ukiwa shilawadu unahisi kusemwa tuAcha ushilawaduuu
Naona umekuja fastaSijatajwa
EwaaaaBamdogo tupe mahela
hahhaha Dada nimeuliza kwa nia njema tuYaani wewe
Mambo ShededeShedede changed group from "humu ndani kumepoa saana" to "tatizo mnachati kwa kujuana"![]()
espy ukujeeUsimuite huyo kivuruge ataharibu mambo
Si husna muba yupo kwani?Shedede changed group from "humu ndani kumepoa saana" to "tatizo mnachati kwa kujuana"![]()
Kuuuuuumbee?
Nimshukuru Shunie kwa kunipigia simu
halaf una machaleUmeelewa nini hapo baeKuuuuuumbee?
Nimshukuru Shunie kwa kunipigia simu