Humu naomba kitu kimoja

Asantee mwaya ushauri mwingine wenye kunipa moyo ila sijakerwa sana nilichokerwa nacho ni hiki hapa unafukuziwa na invisible people napenda nimuone mtu.
 
Asantee mwaya ushauri mwingine wenye kunipa moyo ila sijakerwa sana nilichokerwa nacho ni hiki hapa unafukuziwa na invisible people napenda nimuone mtu.
Njia rahisi ya kumuona mtu tafuta namba ambayo utaitumia kwa WhatsApp kwa ajili hii tu. Kuonana na mwenza wa mtandaoni ukiwa na WhatsApp yake itakuwa rahisi kuona japo picha yake. Kumbuka usi fall in love kwa maandishi ya mtu ila ukishaonana nae. Una angalia jinsi utu na anavyo kujali. Kumbuka simba hata awe na njaa vipi lakini hatokula mzoga.( hata ukitaka mwenza lakini usijirahisishe sana)

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sitaki tena nataka mtu ninaye mwona sio invisible people.
 
Asantee mwaya ushauri mwingine wenye kunipa moyo ila sijakerwa sana nilichokerwa nacho ni hiki hapa unafukuziwa na invisible people napenda nimuone mtu.
Sasa kumuona tu mtu bado haikuhakikishii ndoa, mtu anaweza kulipa hadi mahari na akaingia mitini, muombe Mungu tu yaishe, jitambue pia.
 
Nataka hivi naonana naye kwenye whtsupp halafu ananiambia uko maeneo gani unasema anakufuata outings za hapa na pale na ndio unaanza kumzoea sipendi upo dar eti miezi miwili unaachart tu.
Nikero mapenzi nikuonana tu.
Nakufurahia kabisa best.
 
unamaanisha humu ni.midume suruali..longo longo mingi na haijiamini??
Ulitaka wa fasta fasta jumlisha kuzini ...zini...??
 
he! yashakuwa hayo tena..??
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Badili ID iwe Katoto Kabaya utapata watu walio serious kweli ila ID ya Katoto Kazuri watajitokeza waosha RUNGU tu.
 
Wenye visu vyao washafanya yao tayari...
Pole katotoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…