Humu naomba kitu kimoja

Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Duhh!! pole umesema wanaishilia kukugegeda!! wanaume wabaya sana nilikuwa sijui.
 
Duh! We nenda church tu, huko kwenye harusi na maconcert ni walewale!
 
Pole katoto kazuri.
Usije kutana na haohao huko uendako, ukakata tamaa.
 
Katoto kazuri
 
Ungejifunza kujipenda kujiheshim na kujithamini wewe mwenyewe kwanza wanasema mabadiliko huanza na wewe

Humu wato wapo serious sana, sjui umeshaona wangapi had ukaconclude hivo, una msongo wa mawazo, jaribu kupumzika vizur na fanya maisha yako utapata riziki yako
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Mkuu huyo aliyekutesa humu haimaanishi wote wako sawa watakutesa pia.
 
Ndo sisi sisi tupo huko kwenye maconseti , lodge sijui harusini ndo sisi sisi nakuambia changisha karata zako vizuri tuu mbona nipoo
 
"Nothing is good or bad but your thinking make it so"
Wazee walituasa kupanga ni kuchagua. Kama kweli unakiri wazi tena bayana kuwa mikusanyiko ni muhimu ili kumpata la Azizi wako. Basi Jamii Forum ni kusanyiko zuri na lenye tija. Unakutana na watu wa pande zote, rangi zote,wenye elimu na wasio,wenye weledi na wasio, wenye kazi na wasio.
 
Naweza sema tatizo ni wewe mwenyewe.Hebu tuliza kwanza kichwa.Wanaume wote duniani ni sawa,tunatofautiana vipaumbele pale tunapokuja kwenye swala la mahusiano aidha ya muda mfupi au yakudumu.sasa wewe kama bidhaa sokoni jukumu lako nikujiweka kwenye ubora wakuuzika kulingana na aina ya mteja unayemtaka.Kumbuka "UA zuri hutua nyuki msafi" na kinyume chake.
 
Aisee kujiheshimu kwa ajili ya nani sina msogo wa mawazo ni kwamba huku watu hawapo serious unaongea hivyo kwa maana hujui ninayoyapitia kabisaa mwanaume ukimtaka bila kujisumbua hotels wapo tena sio wa tanzania watakupenda kukuheshimu nakukujali .
Humu kuna watu wenye stress malaya anayejiuza ameheshimika kaolewa juzi.
Kujiheshimu nimeshafanyga kwa muda i have to go out and meet fresh and seeing people hivi utajisikiaje unamuona mtu kwa macho unamtadhimini.
Unampima mnaexchange number mkitaka kuonana anakuona mkitaka chochote mnaweza kupata mwanaume yupo serious napia anaonyesha nia if kama hamuoani anakuambia tu.
Mnaenjoy kama anakuoa anasema tu. Maisha ni kuonana humu ni waongo nakuja next week mara nimepata dharura ni hataki tu anaogopa kumjia mtu hajawahi kumuona .
Sasa utawait hadi lini???
Maisha sio kuwait maisha nikutoka nakusaka kile kitu unachokitaka.
Sio walazimisha nenda taratibu tu utapata lile chaguo lako humu unaonekana unadanga tu.
Ndio shida ila ni bora ukasake uko uambiwe hivyo ila upo tayari kwenye ndoa nirahisi kuolewa na mtu umemuona kushinda kukaa na mtu hunamuona tena anazingua hiki kitu nimechokanjoo tuyajengee kumbe ujinga tu .
Nitumie picha nitumie hiki kile unapoteza muda mwisho wa siku haji.
Kumbe alitaka kampani tu.
Toka nje kabisa nenda katafute Mume yuko somewhere not here .
I think nimeshaongea vyakutosha.
 
Wametua wengi ila niwazushi tu hakun a lolote huku ni wapita njia tu.
Sikui kama ningeliwa humu sijui ningelia nanani
 
HUMU NAOMBA TAFADHALI MNICHUKULIE KAMA RAFIKI SIITAJI MAPENZI YA KUTOONANA NAHITAJI MAPENZI YA KWELI.
 
dada hela ngumu siku hizi, we pita tu
Bonge ya chura imepita, watu "wooooh!", ikageuka "mimi bibi ya mutu mujue!" wahuni nao "hata sisi bwana ya mutu!"..
Kimbaumbau kakapita, watu bizy.. kakageuka "mbona hamniongeleshi!?", wahuni nao "si upite!".
Hii ndio JF!.
 
Kuna mtu alinipa advise siku nyingi nikampuuzia alisema jamii forum is the place where you can reduce stress but not a place for finding someone serious so becarefull
Sasa leo unasoma hapa nimekuja kuona kweli nasitakaa kupenda mtu humu tena i am serious .
Huwezi chart na mtu miezi miwili hamjaonana halafu kila siku sababu na huwezi ongeana mtu kwa simu na hamjaonana woi
 
Bonge ya chura imepita, watu "wooooh!", ikageuka "mimi bibi ya mutu mujue!" wahuni nao "hata sisi bwana ya mutu!"..
Kimbaumbau kakapita, watu bizy.. kakageuka "mbona hamniongeleshi!?", wahuni nao "si upite!".
Hii ndio JF!.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao ndio unawaona sasa sio wahuni wahumu
 
HUMU NAOMBA TAFADHALI MNICHUKULIE KAMA RAFIKI SIITAJI MAPENZI YA KUTOONANA NAHITAJI MAPENZI YA KWELI.
Kweli jamani umeamua kutufanyia hivi kweli.

Sie bado tunakuhitaji kama mpenzi...
 
Okay, ombi lako limefika mahali na muda muafaka

Subiri PM
 
Tuonane leo basi... upo Arusha wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…