Humu mnadhania hivi

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Watu humu hatujuani.watu humu tunakuja na stress zetu tunaandika tutakayo .
Sasa iweje humjui mtu unaanza kumsakama kwa maneno makali ai hebu mkae mjue humu watu huja kwa strsss.tu tunamaisha yetu .
 
Wewe una nyegemshindo tu ndiyo zinakugasi
Watu humu hatujuani.watu humu tunakuja na stress zetu tunaandika tutakayo .
Sasa iweje humjui mtu unaanza kumsakama kwa maneno makali ai hebu mkae mjue humu watu huja kwa strsss.tu tunamaisha yetu .
 
Watu humu hatujuani.watu humu tunakuja na stress zetu tunaandika tutakayo .
Sasa iweje humjui mtu unaanza kumsakama kwa maneno makali ai hebu mkae mjue humu watu huja kwa strsss.tu tunamaisha yetu .
tena tunakuja kuzuga kama kijiweni tu ..stress furaha bado twajaa tena twaandika tutakacho ..ID zenyewe sio kabisa tumezichimba tu..acha kujistress na watu katoto kazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…