GE2025 Humphrey Polepole: Waandishi waandamizi walipewa mlungula na Serikali siku ya tuzo za 'Samia Kalamu', na umeanza kufanya kazi kwenye uchaguzi

GE2025 Humphrey Polepole: Waandishi waandamizi walipewa mlungula na Serikali siku ya tuzo za 'Samia Kalamu', na umeanza kufanya kazi kwenye uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Humphrey Polepole akizungumza na wananchi kupitia mitandao ya kijamii ameweka wazi kuwa waandishi waandamani wengi wamepewa mlungula na Serikali ili wasiongee mambo ya msingi, akitolea mfano kwenye hafla ya tuzo za ''Samia Kalamu'' kuwa Serikali ilitoa mlungula hadharani kinyume na matumizi ya fedha za Serikali katika ngazi za wizara na taasisi za Serikali ambapo ni mwiko kutoa hela mbichi.

Ameongeza mlungula ule ndio unafanya kazi sasa hivi, na ukiona sasa hivi mwandishi mwandamizi anatoka anasema 'Uongo' tambua ni mlungula. Mtu akipewa hongo anaweza kufanya mambo makubwa ya ajabu na ya kutisha

 
Back
Top Bottom