Mheshimiwa Humphrey Pole pole Nakuomba uwe unakuwa punctual kuwajibu WANAFIKI sampli ya mzee wetu Kingunge wanapojitokeza hadharani na KUDHARAU juhudi zenu wakati wa kukusanya maoni kupitia tume ya katiba ya jaji Warioba.
Tusiwape nafasi WANAFIKI hata kama wanauhuru wa kutoa Maoni yao ni vema wawe wakweli na si watu vugeugeu wanaopotosha jamii nakutaka tuwaamini.
Tuwadhibiti WANAFIKI mapema kwani waliipinga katiba pendekezwa.
Wakuwakemea wanafiki ni polepole huyuhuyu wa tume ya Waryoba au kuna polepole mwingine kazaliwa?.Mheshimiwa Humphrey Pole pole Nakuomba uwe unakuwa punctual kuwajibu WANAFIKI sampli ya mzee wetu Kingunge wanapojitokeza hadharani na KUDHARAU juhudi zenu wakati wa kukusanya maoni kupitia tume ya katiba ya jaji Warioba.
Tusiwape nafasi WANAFIKI hata kama wanauhuru wa kutoa Maoni yao ni vema wawe wakweli na si watu vugeugeu wanaopotosha jamii nakutaka tuwaamini.
Tuwadhibiti WANAFIKI mapema kwani waliipinga katiba pendekezwa.
Kabisa kumbe umeliona hloToka alipokubali cheo cha mkuu wa wilaya nilimuona na yeye ni mnafiki
NENOMheshimiwa Humphrey Pole pole Nakuomba uwe unakuwa punctual kuwajibu WANAFIKI sampli ya mzee wetu Kingunge wanapojitokeza hadharani na KUDHARAU juhudi zenu wakati wa kukusanya maoni kupitia tume ya katiba ya jaji Warioba.
Tusiwape nafasi WANAFIKI hata kama wanauhuru wa kutoa Maoni yao ni vema wawe wakweli na si watu vugeugeu wanaopotosha jamii nakutaka tuwaamini.
Tuwadhibiti WANAFIKI mapema kwani waliipinga katiba pendekezwa.
Mchawi mwenyewe amenyoosha mikono kwa mnafiki mimi mpolepole nilimuona mpumbavu kukubali ukuu wa wilaya mpaka mda huu siwezi kumsikiliza mpolepole hata angefanya nini dawa ya viongozi aina ya mpolepole ni kuwapuuzaToka alipokubali cheo cha mkuu wa wilaya nilimuona na yeye ni mnafiki
Toka alipokubali cheo cha mkuu wa wilaya nilimuona na yeye ni mnafiki
Sijawahi kushabikia mabadiliko ya uongo ya LowassaUlimwona mnafiki kwa sababu ulikikosa ila ukajiona jasiri kwa kuungana na maamuzi ya mabadiliko ya angani.
Sijawahi kushabikia mabadiliko ya uongo ya Lowassa
Mkuu Boaz ukiwalinganisha Pole pole na mbowe na Lowasa nani mpumvavu zaidi?Mchawi mwenyewe amenyoosha mikono kwa mnafiki mimi mpolepole nilimuona mpumbavu kukubali ukuu wa wilaya mpaka mda huu siwezi kumsikiliza mpolepole hata angefanya nini dawa ya viongozi aina ya mpolepole ni kuwapuuza