Mzee Polepole atakuja kutuambia nini??? Kwa elimu gani ya "Economics/Mathematics/Auditing/Tax Administration" aliokua nayo ya kumzidi CAG???
Unafikiri, hayo mahesabu na uchambuzi wa matumizi ya serikali aliotoa CAG ni sawa sawa na kuhesabu vitumbua au visheti??? Au kuhesabu buku mbili mbili za wajumbe wa CCM walioingia kwenye vikao huko chamwino???
β Mzee Polepole atawadanganya nyinyi maboya wa lumumba, kwasababu mmeshazoea kudanganywa na kuishi kwa posho za buku mbili.
β Mzee Polepole ameshakufa kisiasa kama alivyokufa baba yake Mzee Bashiru Ally Kakurwa na Mzee Kigwangalla. Ila MATAGA bado hamjalijua hilo. Subirini mtaona kama 2025 watarudi bungeni au serikalini hao wadudu.
β Mzee Polepole muda si mrefu, nyaraka zinawekwa wazi mbele ya "raia wenye hasira kali" za hela alizopiga kwenye uchaguzi, kushawishi na kusababisha matumizi ya hela za uchaguzi kwenda juu zaidi ya budget ya uchaguzi 2020 iliowekwa.
β Mzee Polepole ajipange 2025, harudi bungeni si kwa kupitia mlango wa kina mama (Viti Maalum) wala kuchaguliwa na wananchi. Hapo wakati Ukatibu Mwenezi utakuwa umeshachukuliwa na mtu mwingine CCM.
β Mzee Polepole & SUKUMA GANG (Wasio na Experience yoyote ya Siasa Chafu = Waliotembelea koti la Marehemu Kichaa) wanauliwa wote kisiasa hata kabla ya 2025, watauliwa na (#Team JK, #Team KINANA, #Team NAPE/JANUARY = CCM YA ZAMANI ILIORUDI MADARAKANI NDANI YA CHAMA).