Mi Navyojua O Level alisoma Azania akachaguliwa kujiunga A level Benjamin Mkapa pale....
Hapo A level akipiga PGM alama hazikutosha akatunukiwa daraja sifuri.
Sasa baada ya hapo sijui kama alifuata nyayo za Bashite au aliishia hapohapo...
Ila mpaka kuupata u-CAG wa CCM sijajua alipitia njia gani japo najua rasimu ya katiba ya Warioba aliutumia vizuri mgongo wa mzee Warioba kujiibua kama ambavyo Bashite alivopitia kwa marehemu mzee Samwel Siita na baadae Rizimoko Kikwete...

I was informed kuwa kipindi mile hoja nyingi za wazee hasa Warioba alikuwa anazipitisha kwa POLEPOLE ku pata support ya vijana kitu amabcho kilifanikiwa sana. Nilihudhuria mihadhara yao kadhaa vijana walikuwa wengi kuliko rika lolote.
Kinachotokea sasa yawezekana labda amekosa yale madini ya wazee au wazee wamemkataa au anafikiri kwa kutumia uwezo wa mtu mwingine
Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Soma kwanza hii post niliiandika lini ndio uje uandike tena hiki ulichokiandika. Muwe mnasoma na tarehe kwanza. Wewe ulitegemea Polepole wa Tume ya Warioba atakuja kuwa hivi alivyo?