siasa ni mchezo wa kujipunguza akili kwa makusudi kabisa....tena mpaka mkeo na watoto/wako wanakuwa wanajua ukusudi huo ili mradi tuu shimo la majitaka liongezeke ujazo daily.....🙄🙄🙄
zamani nilikuwa naogopa ban lakini sasa siogopi kuna raia humu wanaleta uzwazwa na mie nakomaa nao mtu anaanza kukutukana from no where kisha anareport ajabu mod watakupa ban wewe uliyemjibu kudadadeki zao hata wao