Jamani mnaposema kuwa kilaza polepole kamuonyesha zitto fact wakati mwenyekiti wa PAC kasema kuwa walipewa siku 21 maafisa masuhuli wapinge taarifa ya CAG siku zote hizo serikarili ya malaika ilishindwa kuonyesha hizo 1.5T ime kwenda wapi? leo kilaza polepole anakuja na fact za uongo ambao ata mtanzania ambaye ajasoma anajuwa polepole anatetea tumbo