toto2000
Member
- Aug 24, 2025
- 24
- 7
kwa sababu bei ya mtungi wa gas Cuba si sahihi na anavyotamka yeye lengo lake analenga kushawishi siasa za kijinga
1. Bei ya gesi Cuba sio TZS 2,000/= kwa mtungi wa kilo 20. Hiyo bei imepunguzwa kupita kiasi ili kuonyesha tofauti kubwa na Tanzania. Kwa Cuba, serikali hutoa ruzuku kubwa lakini bado gharama ni kubwa zaidi ya hiyo.
2. Kiwango cha TZS 55,000/= Tanzania kinaendana na bei halisi ya mtungi wa kilo 15–20 kwa sasa
Tanzania inajaribu kukuza sekta ya nishati kama tunavyoona inavyofanya kampeni katika kila mikoa na haitegemei tu umeme kama ilivyodaiwa kwa namna hii inafanya biashara ya gesi kwa wananchi kulenga ukuzaji kwa kuuzwa katika Bei elekezi.
#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia