ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Aug 27, 2014 #1 anapinga kupokea maoni kwasasa bungeni wafanyavyo akina sitta
ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Aug 27, 2014 Thread starter #2 anasema maoni yote yalishawasilishwa na tume na kila maoni si yaingie kwenye rasmu
TAWA JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 3,674 Reaction score 1,572 Aug 27, 2014 #3 Umechelewa
ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Aug 27, 2014 Thread starter #4 anadai huku ni kupoteza fedha za watanzania.....
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,318 Aug 27, 2014 #5 Jamaa yupo safi umeme ulikatika ch10.
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,102 Reaction score 14,496 Aug 27, 2014 #6 MWANZA MAGEUZI said: anapinga kupokea maoni kwasasa bungeni wafanyavyo akina sitta Click to expand... Asante sana mkuu nampata mataalam huyu wa mambo ya katiba kwa uzuri kabisa kupitia ch10 muda huu.
MWANZA MAGEUZI said: anapinga kupokea maoni kwasasa bungeni wafanyavyo akina sitta Click to expand... Asante sana mkuu nampata mataalam huyu wa mambo ya katiba kwa uzuri kabisa kupitia ch10 muda huu.
ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Aug 27, 2014 Thread starter #7 TAWA said: Umechelewa Click to expand... sawa lakini ungetujuza mkuu.... si vibaya kuwajuza pia
ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Aug 27, 2014 Thread starter #8 adolay said: Asante sana mkuu nampata mataalam huyu wa mambo ya katiba kwa uzuri kabisa kupitia ch10 muda huu. Click to expand... jamaa yuko fiti Sana aisee
adolay said: Asante sana mkuu nampata mataalam huyu wa mambo ya katiba kwa uzuri kabisa kupitia ch10 muda huu. Click to expand... jamaa yuko fiti Sana aisee
ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Aug 27, 2014 Thread starter #9 Amalinze said: Jamaa yupo safi umeme ulikatika ch10. Click to expand... wapo sasa hewani mcheki
nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,802 Reaction score 4,450 Aug 27, 2014 #10 Mh sana S6 kuna shule ya bure sasa hivi Chanel ten inatolewa na mwenye akili Humfrey Polepole. Acha kupokea maoni huko BMK ni uzuzu.
Mh sana S6 kuna shule ya bure sasa hivi Chanel ten inatolewa na mwenye akili Humfrey Polepole. Acha kupokea maoni huko BMK ni uzuzu.
Expedito Mduda JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 545 Reaction score 268 Aug 27, 2014 #11 Kweli bwana Polepole anaongea hapa Chanel 10
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,698 Reaction score 9,051 Aug 27, 2014 #12 Samwel sitta kishafirika kisiasa na hata kiakili amebaki kasha tu kichwani hamna kitu
nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,802 Reaction score 4,450 Aug 27, 2014 #13 BMK wasikilize wasipotoshe umma wakati kila kitu kiko peupe
nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,802 Reaction score 4,450 Aug 27, 2014 #14 mtzmweusi said: Samwel sitta kishafirika kisiasa na hata kiakili amebaki kasha tu kichwani hamna kitu Click to expand... Kweli mkuu Sita ni kasha tupu, kichwani zimeyeyuka
mtzmweusi said: Samwel sitta kishafirika kisiasa na hata kiakili amebaki kasha tu kichwani hamna kitu Click to expand... Kweli mkuu Sita ni kasha tupu, kichwani zimeyeyuka
masanjasb JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 2,364 Reaction score 869 Aug 27, 2014 #15 Yule mzee hana busara wala hekima tena.....eti mzee wa viwango leo kageuka kuwa mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni?
Yule mzee hana busara wala hekima tena.....eti mzee wa viwango leo kageuka kuwa mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni?
nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,802 Reaction score 4,450 Aug 27, 2014 #16 CCM wote popote walipo kuhusu BMK ni MAZUZU.
M mmaranguoriginal. JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 4,060 Reaction score 460 Aug 27, 2014 #17 huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa
huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa
H Haki sawa JF-Expert Member Joined Oct 3, 2007 Posts 4,781 Reaction score 3,211 Aug 27, 2014 #18 Sitta ni kama mbwa Mzee , hana uwezo wa kujifunza mbinu mpya .......
Mkwaha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 1,732 Reaction score 3,267 Aug 27, 2014 #19 binafsi hua namuelewa bwana pole pole zaidi ya ninavyo muelewa rais wenu.
manning JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,092 Reaction score 11,947 Aug 27, 2014 #20 Tupeni updates sisi huku umeme wanechukua tangu saa kumi na mbili na nusu jioni.