Humphrey Polepole CCM imekuzidi Uenezi

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,997
2,000
Toka apewe kijiti cha itikadi na uenezi sijaona , sioni na wala sitarajii kuona jipya kutoka kwa huyu jamaa katika kukisaidia CCM kwnye itikadi na uenezi.

Nnachokiona CCM kama CCM inajieneza yenyewe na hata kuzidi mikakati ya huyu jamaa.
Kinachoonekana ni hiki, Uimara wa CCM Kiitikadi na Uenezi ni Mkubwa kuliko mbinu zinazotumiwa na Humphrey Polepole.

Kwa wazee wenzangu huwa tunatumia kauli hii..
"kiatu alichokivaa Humphrey hakimtoshi"

Kwa watoto wa mjini husema , "hana jipya ndani ya chama".

Na mm nasema

"Humphrey huna unalosaidia ndani ya CCM , chama ni kikubwa kuliko akili unayowekeza kwnye nafasi hiyo"

Maana yake ni kwamba hata Unyamaze na usiingie ofisini , stil Itikadi na Uenezi wa chama utaonekana kuendelea.

Mm ni yule yule rafikia yako wa kuita "beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa".

Idd njema kwako/nyote.
 
mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,997
2,000
Nadhani Pole pole anafuata miongozo ya chama chake ktk nafasi yake ya kazi Katibu mwenezi.

Hafanyi kazi kwa matakwa yake mwenyewe!!
Basii hiyo miongozo haitaongeza positive outcomes kwa chama..otherwise wambadilishe style
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,152
2,000
Mnataka awe kama Nappe kuropoka ropoka na kutukana wapinzani?

Watanzania sawa na kuku tu, hata ukimuwekea mahindi kwenye sahani bado ataparulia chini ali adonoe na mchanga.
 
tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,833
2,000
Haka kajamaa ni kaganga njaa tu, kanadai CCM mpya huku bado kamevaa kijani ileile tangu 1977.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Huku kwetu CCM imebaki Bendera tu wanachama wameisha ikataa.

Ndiyo Maana hata Uongozi mmeamua kutoa BURE
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,744
2,000
Aisee nakubaliana na wewe mimi nilishangaa sana alipomletea mh. Raisi mwanachama mpya kutoka act-wazalendo ambaye alikuwa amelewa chakali
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,050
2,000
Polepole ana akili ya kukosoa tu mawazo ya wengine SIO akili ya kubuni na kujenga hoja.
 
Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,384
2,000
Yaani huyo jamaa ukilinganisha kauli zake enzi za rasimu na alivyopwaya unaweza ukadhani ni mamluki

Nafasi hiyo apewe alhaji profesa LIPUMBA mbobezi wa uchumi na nguli wa siasa za kila aina akisaidiwa na Sakaya hapo CCM itang'ara zaidi
 
ferrocyanide

Member
Aug 31, 2017
86
125
Biashara ya hamphrey polepole inaua ccm.
Walinunua madiwani arusha wakapoteza mtu mwenye effect ktk jamii bwana Lazaro nyalandu.
Maana ya biashara hii ni sawa Na kuuza bombardier Na ku nunua guta 5
Wamepokea spy toka uvccm Na akina mashasha ili wawa chunguze mambo yao huku wakiwa wanawalipa wao haohao.
Wakafulia kwa kafulila kafulila wa ukweli atakuja julikana 2020 wa sasa ni darani ssem system tehteh.
Wiki ijayo Mzee wetu polepole hato Amini pale ghalama a tapo shuhudia ghalama ya bata watatu alio wachukua kwa jirani a kiwa Kama msabato watamfidia jirani ngamia 100,000,000.
Asante Kwa mueneenziii mh polepole
 
king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,681
2,000
Labda Kama Mnajifurahisha Tu Ila Msije Mkaajidanganya Kwamba Kuna Mwaka Ccm Itakuja Toka Madarakani
 
JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,890
2,000
Toka apewe kijiti cha itikadi na uenezi sijaona , sioni na wala sitarajii kuona jipya kutoka kwa huyu jamaa katika kukisaidia CCM kwnye itikadi na uenezi.

Nnachokiona CCM kama CCM inajieneza yenyewe na hata kuzidi mikakati ya huyu jamaa.
Kinachoonekana ni hiki, Uimara wa CCM Kiitikadi na Uenezi ni Mkubwa kuliko mbinu zinazotumiwa na Humphrey Polepole.

Kwa wazee wenzangu huwa tunatumia kauli hii..
"kiatu alichokivaa Humphrey hakimtoshi"

Kwa watoto wa mjini husema , "hana jipya ndani ya chama".

Na mm nasema

"Humphrey huna unalosaidia ndani ya CCM , chama ni kikubwa kuliko akili unayowekeza kwnye nafasi hiyo"

Maana yake ni kwamba hata Unyamaze na usiingie ofisini , stil Itikadi na Uenezi wa chama utaonekana kuendelea.

Mm ni yule yule rafikia yako wa kuita "beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa".

Idd njema kwako/nyote.
Weka majina na harakati za wenezi wa vyama vingine tulinganishe ufanisi wao!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
42,012
2,000
Toka apewe kijiti cha itikadi na uenezi sijaona , sioni na wala sitarajii kuona jipya kutoka kwa huyu jamaa katika kukisaidia CCM kwnye itikadi na uenezi.

Nnachokiona CCM kama CCM inajieneza yenyewe na hata kuzidi mikakati ya huyu jamaa.
Kinachoonekana ni hiki, Uimara wa CCM Kiitikadi na Uenezi ni Mkubwa kuliko mbinu zinazotumiwa na Humphrey Polepole.

Kwa wazee wenzangu huwa tunatumia kauli hii..
"kiatu alichokivaa Humphrey hakimtoshi"

Kwa watoto wa mjini husema , "hana jipya ndani ya chama".

Na mm nasema

"Humphrey huna unalosaidia ndani ya CCM , chama ni kikubwa kuliko akili unayowekeza kwnye nafasi hiyo"

Maana yake ni kwamba hata Unyamaze na usiingie ofisini , stil Itikadi na Uenezi wa chama utaonekana kuendelea.

Mm ni yule yule rafikia yako wa kuita "beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa".

Idd njema kwako/nyote.
Wewe utakuwa J muro!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom