Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

Mbona habari ya makontena 700 ipo siku nyingi! Au kwakuwa kasema Polepole?
Siku moja ikitokea (ipishie mbali) Bw. Makonda kuondolewa madarakani na pengine akaonekana na Kakesi kokote, pamoja na kumsema sema vibaya kote lakini OOOOOH watakuja mbio kumtetea na saa ingine atabatizwa kuwa kamanda. Tuhuma za Bw. Kinana juu ya makontena ni za enzi na enzi. Kwamba ni kwa nini haikusemwa mwanzo, bado haiwezi kuzuia kusemwa leo. Acha asemwe na ikiwezekana hatua stahiki dhidi yake zichukuliwe ili baadaye zitumike kama funzo kwa wanaoendelea madarakani.
 
Anachokifanya Polepole ni kusambaza taarifa za siri kuwa Rais Magufuli na PM Majaliwa wanashirikiana na mafisadi wakwepa kodi walio chama cha mapinduzi kwa sharti la kuwa hawataondoka chamani na watafanya kila watakaloagizwa na chama hata kama hawalipendi.

Je, wananchi wakiamua kutamka kuwa kumbe huyu mzee naye ni jizi tuu kwa vile anawalinda majizi mengine itakuwa kosa?

Kweli kuchamba kwingi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimae Nawe umewachoka?? Asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole pole kashindwa kuficha ujuha wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So Leo ndio tunapata habari ya kontena? Kwanini hatukupashwa habari kipindi kile kile cha tukio? Au pole pole amezijua hizi habari Jana ?
Naona mzee Kinana anatafutiwa kona hapo.!
 
Polepole kuna maisha baada ya Ukatibu,kumbuka hapo wamepita wengi sana,ccm ipo na itaendelea kuwepo ila wewe hutakuwepo,Makamba na Kinana walikuwepo hapo leo wakiamua kutoka waacheni watoke kwanini uwatishe? Kumbuka na Wewe utatoka tu ,tunayo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda utaongea si ndio mmeanza sasa kumsulubu.... Tusishangae mkaanza kuhoji na uraia wake
Hahahaaaa...........Wasiwasi wangu ni je huyo Kinana ana uvumilivu wa " kutukanwa" kama Lowassa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…