Humphrey Polepole ana codes

CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Usikute mabeberu wamemlazimisha huko.
Ushahidi unaendelea kukusanywa.
Balozi, kama mwakilishi wa Rais, huenda kaulizwa yanayoendelea nchini, akakosa majibu, kama Mamlaka iliyomteua imeshindwa au haitaki kueleza ukweli wa matukio yanayolalamikiwa km kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu kwa imani yao
 
Wewe ulimua BEN SAA NANE ukishirikiana na Polepole na JPM.Damu ya Ben na iwe juu ya vizazi vyako vyote
 
Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo!
 
Order ilishatolewa mapema kwamba,

Nireteeni Gwajima*1

Nireteeni Gwajima aa*2

Nireteeni Gwajimaaaaaaa*3😭!

Tusubiri πŸ™
 
Mgombea urais bado hamjampata. Mchakato wenu wa kumpata mgombea urais utakapoanza ndio utajua kumbe hamkuwa bize
Mgombea wa chama gani? Kama ni CCM Mgombea Urais ni Rais Samia na Mgombea Mwenza ni Dk. Nchimbi. Kama ulikuwa huna taarifa, basi ipokee!
 
Kwamba zamisha mtubwi tuzame wote?
 
Sikusema now yupo Tz amefikaje na anajiamini nini huu mtiti ni mzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…