msovero JF-Expert Member Joined Jun 30, 2019 Posts 928 Reaction score 1,761 Aug 24, 2021 #1 Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa. Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani? Au ni msongo wa mawazo 'depression'? Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa. Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani? Au ni msongo wa mawazo 'depression'? Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,830 Aug 24, 2021 #2 Ni depression na maumivu ya moyo Anafanya hivyo ili watu wamuone yupo okey
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,173 Reaction score 138,434 Aug 24, 2021 #4 Mkiendelea kumuandama atajipiga kamba
msovero JF-Expert Member Joined Jun 30, 2019 Posts 928 Reaction score 1,761 Aug 24, 2021 Thread starter #5 Inside10 said: Ni depression.. na maumivu ya moyo Anafanya hivyo ili watu wamuone yupo okey Click to expand... Kama ni depression watu wake wa karibu wamuwahi mapema kabla hali yake haijawa mbaya zaidi
Inside10 said: Ni depression.. na maumivu ya moyo Anafanya hivyo ili watu wamuone yupo okey Click to expand... Kama ni depression watu wake wa karibu wamuwahi mapema kabla hali yake haijawa mbaya zaidi
Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 4,509 Reaction score 4,699 Aug 24, 2021 #6 Hayo ni malipo ya unafiki wake
Naipendatz JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 5,091 Reaction score 8,243 Aug 24, 2021 #7 Hakutegemea mwendazake angeenda zake, waliahidiwa vingi sana na mwendazake hawa
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,872 Reaction score 101,154 Aug 24, 2021 #8 Mama Kuku kafa vifaranga wanatawanyika
Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,083 Aug 24, 2021 #9 Itakuwa laana ya kuchumia tumbo na kusahau masilahi ya Watanzania aliyojifanya kusimamia hapo mwanzo.
Itakuwa laana ya kuchumia tumbo na kusahau masilahi ya Watanzania aliyojifanya kusimamia hapo mwanzo.
KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,364 Reaction score 6,263 Aug 24, 2021 #11 Mbona namuona yupo sawa,,angekaa kimya mngesema MaTaga wanakomeshwa,,akiongea na kutupia ma-video mnasema ana depression 🤣🤣🤣..sasa afanyaje?
Mbona namuona yupo sawa,,angekaa kimya mngesema MaTaga wanakomeshwa,,akiongea na kutupia ma-video mnasema ana depression 🤣🤣🤣..sasa afanyaje?
James Martin JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 1,205 Reaction score 1,509 Aug 24, 2021 #12 Mleta mada hebu acha kutupotezea muda wetu. Sasa hapo cha ajabu ni nini? Tunaishi kwenye zama za mitandao na watu kutuma video zao, hasa vijana ni kitu cha kawaida. Polepole bado ni kijana sana mwache afurahie maisha yake.
Mleta mada hebu acha kutupotezea muda wetu. Sasa hapo cha ajabu ni nini? Tunaishi kwenye zama za mitandao na watu kutuma video zao, hasa vijana ni kitu cha kawaida. Polepole bado ni kijana sana mwache afurahie maisha yake.
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,201 Aug 24, 2021 #13 Kichaaa kinamjia polepole Humphrey Polepole [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kichaaa kinamjia polepole Humphrey Polepole [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,456 Reaction score 36,471 Aug 24, 2021 #14 Hajaanza leo, muone hapa 2yrs ago Ni furaha yake tuu
N ngebe JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 1,786 Reaction score 5,119 Aug 24, 2021 #15 Siku hizi ni kama kamechanganyikiwa
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,494 Reaction score 28,411 Aug 24, 2021 #16 Ha ha haaa! Anaupiga mwingi. Safi sana.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,413 Aug 24, 2021 #17 Kwa kweli ndo maana watu husema Akili yangu haipo sawa. Yaani mimi namuona @HPolepole yupo sawa kabisa.
Kwa kweli ndo maana watu husema Akili yangu haipo sawa. Yaani mimi namuona @HPolepole yupo sawa kabisa.
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Aug 24, 2021 #18 msovero said: Kama ni depression watu wake wa karibu wamuwahi mapema kabla hali yake haijawa mbaya zaidi Click to expand... Hana umuhimu kwa Taifa huyo kinyago wa mwendazake. Kwanza unaijua viieeitee wewe!,? Bullshit!
msovero said: Kama ni depression watu wake wa karibu wamuwahi mapema kabla hali yake haijawa mbaya zaidi Click to expand... Hana umuhimu kwa Taifa huyo kinyago wa mwendazake. Kwanza unaijua viieeitee wewe!,? Bullshit!
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,490 Reaction score 29,263 Aug 24, 2021 #19 Kwa sasa kajikita zaidi kwenye biblia Sent using Jamii Forums mobile app
JABALI LA KARNE JF-Expert Member Joined Apr 19, 2021 Posts 3,090 Reaction score 5,874 Aug 24, 2021 #20 Huwa anapenda kucheza cheza ajirikodi.